Kidaza

Kidaza ni lugha ya Kiafrika-Kiasia nchini Nigeria inayozungumzwa na Wadaza. Idadi ya wasemaji wa Kidaza haijulikani ila ni ndogo kwa vile Kidaza huzungumzwa katika vijiji vichache tu. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kidaza iko katika kundi la Kichadiki.


© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search